(image) – Watoto wakihamasisha wenzao wenzo kwa maandamano ndani ta mtaa wa matopeni, katika maandamano hayo watoto walionesha michezo ya kupuliza bubles zitokanazo na povu la sabuni yenye rangi. (image) Michezo ya watoto ikiandaliwa mahali maalum, huleta maana na huwakutanisha na kujenga uwezo wa kuvumiliana. hapo juu ni maandalizi ya kutengeneza povu la sabuni iliyochanganywa na rangi kwa ajili kupuliza na kurusha... | (Bila tafsiri) | Hariri |