Vijana washiriki maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika tarehe 2 disemba 2011 viwanja vya Zakhiem Mbagala Charambe – Takribani vijana 60 wanachama na Viongozi wa mtandao wa vijana Manispaa ya Temeke wameshiriki maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ambayo mwaka huu yamefanyika katika viwanja vya Zakhiem kata ya Mbagala.Maadhimisho hayo yaliyopambwa kwa vikundi mbalimbali vya sanaa za ngoma na maigizo... | Youth participants celebration of world AIDS day held on 2 December 2011 stadiums Zakhiem Mbagala Charambe – Presumably young 60 members and leaders of a network of young MC Temeke have attended the celebration of World AIDS Day, which this year has been made in the grounds of the Zakhiem ward Mbagala.Maadhimisho it yaliyopambwa for different groups of the art of dance and drama aimed at encouraging community... | Edit |