WAKIHABIMA imefanikisha ulipwaji wa mishahara ya vibarua 19 waliokuwa wamefanya kazi – na kushindwa kupata mishahara yao kwa wakati tangu May-Juni 2015. wafanyakazi hao walikuwa wamefanya kazi ya kusafisha uwanja wa ndege Masasi na kuahidiwa kulipwa bila mafanikio. – kwa mujibu wa wasaidizi wa kisheria, Donald Simonje na Mwinda Mkwamba waliosimamia mchakato wa ufuatiliaji wa haki hizo kisheria, wafanyakazi hao walikuwa mara zote wakiahidiwa – bila... | (Bila tafsiri) | Hariri |