(image) – TEYODEN yashiriki kwenye mkutano wa wadau Morogoro – Hivi karibuni ulifanyika mkutano wa awadu nwa maendeleo ya vijana pale mjini Morogor wakiupitia mkataba wa vijana wa Afrika na mkakati wa ushiriki na ushikishwaji wa vijana katika shughuli za kijamii. – Katika mkutano huo jumla ya washiriki 30 kutoka asasi za vijana na wawakilishi kutoka wizara za maendeleo ya jamii,jinsia na watto,wizara ya kilimo na wizara... | (Bila tafsiri) | Hariri |