Pichani juu:Wanajamii wakipata maelezo kutoka kwa mweka hazina msaidizi wa TEYODEN bi Prisca Moses juu ya V.V.U/UKIMWI Katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani yaliyofanyika viwanja vya Zakhiem mbagala Charambe.Pichani chini:mama mwenye kofia Mgeni rasmi wa maadhimisho ya Ukimwi duniani Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke akipata maelezo ya shughuli za TEYODEN kutoka kwa afisa habari wa TEYODEN bwana Hamphrey Shao. ... | Pictured above: Communities receiving information from the treasurer assistant TEYODEN bi Prisca Moses on HIV / AIDS In observance of World AIDS Day held in the grounds of the Zakhiem Mbagala Charambe. Pictured below: mother's hat guest to mark World Aids Deputy Mayor Temeke Municipal been receiving information from the activities TEYODEN information officer of TEYODEN Hamphrey master Shao. – (image) ... | Edit |