Wamiliki wa viwanda Tanzania waokoeni wakulima. – WAKATI wa uongozi wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Tanzania ilikuwa nchi ya Wakulima na Wafanyakazi. Katika kipindi hicho, wafanyakazi walikuwa ngangari hali kadhalika wakulima walikuwa wanaringa kutokana na kufaidi jasho lao. – Kipindi cha mwalimu, mambo yote yalikuwa hadharani, kwani wakulima kutoka kila mkoa, wilaya, tarafa, kata na vijijini walitekeleza wajibu wao kwa uhakika. ... | (Not translated) | Hindura |