Tangazo :Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Mheshimiwa Januari Makamba anapenda kuwaalika wenyeji wa Jimbo la Bumbuli waishio Mkoa wa Dar-es-Salaam na Mkoa wa Pwani katika mkutano utakaojadili maandeleo ya Jimbo lao. Mkutano utafanyika tarehe 4/8/2012 katika ukumbi wa KARIMJEE jijini DSM kuanzia saa tatu hasubuhi hadi saa saba mchana tafadhali ukilipata tangazo ili mtaalifu na mwenzako – wako mwenyekiti wa mwela theatre group vuga ... | (Not translated) | Edit |