Fungua

/olai/post/20571: Kiswahili

AsiliKiswahili
Utoaji wa taarifa ni muhimu kwa kila jambo lifanywalo, shughuli au jambo hilo lipate nafasi kwa watu wengine walifahamu,(Bila tafsiri)Hariri
Namba yangu ya simu: 0788 715 532 / 0654 269 456 Email: olaitandahimba8@gmail.com Box 62 Tandahimba.(Bila tafsiri)Hariri
Ninaziomba Asasi za kiraia nchini, hasa wafanyakazi wa Asasi, kutolea taarifa shughuli tuzifanyazo kwenye maeneo yanayohusika. Tusipofanya hivyo, haitajulikana Asasi zetu zinafanya nini machoni mwa jamii.(Bila tafsiri)Hariri
Je, wewe mwana Azaki mwenzangu upo tayari kuwasiliana kwa ukaribu ili kusaidiana na kubadilishana uzoefu? Tukumbuke ni jambo muhimu sana hili.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Aliyesimama na kipaza sauti ni Ndg. Hassan Luheko Mnaute, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa uhamasishaji kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 kwa wananchi wa kijiji cha Likolombe kilichopo Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoa wa Mtwara - Tanzania, wakati wa utekelezaji wa mradi uliofadhiliwa na The Foundation for Civil Society (FCS).(Bila tafsiri)Hariri
Add a commentOngeza maoniHariri
Your email:Email yako:Hariri
Your email address will not be published.Anwani yako ya email haitachapishwa.Hariri
Your location:Mahali ulipo:Hariri
%s said:%s alisema:Hariri
(optional)(sio lazima)Hariri
Publish commentChapisha maoniHariri
CommentsMaoniHariri
MayMeiHariri
{month} {day}, {year}{day} {month}, {year}Hariri