| Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
|---|---|
|
Mabalozi wa NYDT Talents Kigoma ambao wanawakilisha wenzao wengi hapa kigoma wanashauku na Furaha ya Ko\upekea Ugeni huu.
Katika Kikao cha pamoja ,Tarehe 5 na 6,oktober,2012 wamekuwa na Maswali mengi na kuomba Asasi zingine ziige mfano Nyakitonto youth for development Tanzania. Picha za mabalozi wa NYDT Talents Kigoma zinaonekana hapa.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe
NYAKITONTO YOUTH FOR DEVELOPMENT TANZANIA-Imekamilisha Mkakati na Maandalizi ya Kupokea Ugeni wa SAVE MY TALENTS-Kutoka Dar es salaam.


