Envaya

/OLAI/post/20555: English

BaseEnglish
Tunashukuru sana kwa ushauri uliotolewa na ENVAYA kuwa, Asasi za kiraia/mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, kuwepo na uhusiano na mitandao ya kitaifa na kimataifa, kueleza shirika linafanya au linajishughulisha na nini kwa jamii. Hii inasaidia shirika kujijengea uaminifu kwa mashirika wafadhili, na sio kujishughulisha na kuomba ruzuku toka kwa wafadhili. Yapo mashirika kama TACONGO, TANGO nk, ninaonelea kungekuwa na mwongozo wa kutuwekea hadharani mawasiliano ya mashirika hayo, ili tuweze kujua...(Not translated)Edit
Kuhusu masuala ya utendaji wa watumishi wa Asasi za kiraia, kungekuwa na utaratibu wa kupata mafunzo ya kuwawezesha ili kupata uelewa wa kutosha na kuleta ufanisi wa shughuli zao za kila siku. Kuwe na ushirikiano kwa wadau na mitandao ya kitaifa na kimaifa.(Not translated)Edit
Mfumo wa utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekezwa na mashirhika, huwa haileti mabadiliko kwa jamii kwa vile, mazingira ya ufuatiliaji na tathmini huwa hayana umakini kwa kukosa uelewa wa kutosha. Wito wangu kwa mashirika wafadhili, pamoja na mambo mengine iwe wanakuwa na utaratibu wa kuandaa mafunzo kwa mashirika madogo ili kuwaongezea ujuzi kwa ajili ya kuwawezesha kutoa taarifa kamili na sahihi za shughuli wanazozifanya kwa jamii. Tujue jamii pamoja na ugumu uliopo, wanahitaji...(Not translated)Edit
(image) – Washiki wa washar/mafunzo ya sheria ya Ardhi Na. 5 vijiji ya mwaka 1999 na kanuni zake za mwaka 2002, yaliyoandaliwa na OLAI kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society. Mafunzo yaliyohusha kata 5 za Mkwiti, Ngunja, Litehu, Luagala na Nambahu katika wilaya ya Tandahimba Mkoa wa Mtwara-Tanzania(Not translated)Edit
Add a commentGot a bad https://geeksquad-appointment.us/credit score and desperately in need of a loan? King Zeus is the solution! I got turned down by so many creditors because of my bad score. I was referred to King Zeus and he assisted me with securing a loan and also repaired my credit. He's truly a savior and with his help, I'm able to stay out of debts and keep a roof over my head. You can hit him up on 407-900-6299 or HACKKINGZEUS at g mail dot com if you have the same...Edit
Your email:Your email:Edit
Your email address will not be published.Your email address will not be published.Edit
Your location:Your location:Edit
%s said:%s said:Edit
(optional)(optional)Edit
Publish commentPublish commentEdit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
JulyJulyEdit
AugustAugustEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit