3. WANAHARAKATI WA WEMA WASHIRIKI MAONYESHO YA SERIKALI ZA MITAA – Tarehe 01 Julai 2010 Wanaharakati wa Elimu, Mazingira na Afya-WEMA, walishiriki katika maonyesho ya Serikali za Mitaa yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ndanda Masasi. Kikundi cha WEMA kilishiriki maonyesho hayo kwa kuonyesha baadhi ya shughuli wanazozifanya. Walionyesha baadhi ya vitabu vinavyopatikana katika maktaba yao, pia walionyesha baadhi ya miche ya miti waliyootesha... | 3. Activists good PARTICIPANTS OF LOCAL GOVERNMENT Performances – On July 1, 2010 Activists of Education, Environment and Health-good, participated in exhibitions held in local government district in the small town of Masasi Ndanda. KINDNESS Group participated in this exhibition demonstrate some of the activities they do. Reflected some of the books available in libraries of them, also expressed some seedlings of trees were yootesha in the garden is... | Edit |