Wakihabima imebahatika kuwa moja ya asasi zilizotoa waangalizi wa uchaguzi wa ubunge jimbo la Masasi uliokuwa umeahirishwa wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 20 kutokana na kufariki kwa mmoja ya wagombea Dr. Emmanuel Makaidi wa NLD. Kazi hii waliifanya kwa mwamvuli wa TACCEO chini ya kituo cha Sheria na haki za Binadamu LHRC. Walioshiriki walikuwa; Noel Mwembere, Tanmoza Fungafunga, Donald Simonje, Mwanaafa W. Malenga, Irene Liyumba, Frank Liweta, Monica Mzula, Damas Mlaponi, Mwinda Mkwamba,... | (Bila tafsiri) | Hariri |