Envaya

/manshep/news: English

BaseEnglish
Kansa ni tatizo linaloongezeka sana katika jamii ya Watanzania kutokana na kubadilika kwa mfumo wa maisha ya asili. Maisha ya kisasa hasa ulaji wa vyakula vilivyosindikwa kwa kemikali, huchangia ongezeko la tatizo hili, chukua tahadhari. – (image)(Not translated)Edit
(image) – MATUFAA KWA AFYA,LISHE NA TIBA – “An apple a day will keep the doctor away…An apple before bed makes the doctor beg his bread” (kula tunda moja la tufaa kila siku humfanya mtu asiwe na haja ya kuonana na daktari…kula tunda la tufaa kila siku humkosesha daktari mapato yake). Misemo hii ya Waingereza inaonyesha umuhimu wa matunda ya matufaa kwa ajili ya kudumisha afya ya binadamu, kukinga na kutibu magonjwa...(Not translated)Edit
Vipodozi salama vya asili vinaweza kumfanya mtu kuwa mrembo na kuvutia bila kujihatarisha kiafya. Ni busara kuepuka vipodozi vyenye kemikali na sumu zinazoweza kusababisha kansa, kuharibika kwa figo/ini, ugumba, kuota ndevu kwa wanawake pamoja na matatizo ya afya ya akili (msongo) – (image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
Lishe bora na mlo kamili ni muhimu kwa afya kwani huongeza kinga ya mwili ya kukabiliana na magonjwa na kulainisha ngozi. Katika sehemu ambazo watu wanatumia matunda na mboga za majani kwa wingi matumizi ya dawa zenye kemikali zinazotengenezwa viwandani, yanapungua sana. – (image)(Not translated)Edit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
DecemberDecemberEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit
DiscussionsDiscussionsEdit
KinyarwandaKinyarwandaEdit
(unknown language)(unknown language)Edit
Main MenuMain MenuEdit
NetworkNetworkEdit
PreviousPreviousEdit