Washema imeendelea na shughuli zake za kutoa huduma za usaidizi wa kisheria na haki za binadamu. Wanachama wake wamesaidia jamii kwa kutoa elimu juu yamasuala ya kisheria katika kata za Nanganga, Chiungutwa, Mchauru, Namalenga, Mkomaindo na Lukuledi. Aidha kwa sasa inafanya utafiti wa kubaini makundi ya wanawake, vijana na walemavu ambao wanakosa fursa ya kugombea katika chaguzi mbalimbali. Utafiti na uibuaji huo umelenga kata za Chiungutwa, Nanganga na maeneo ya Mji... | (Not translated) | Hindura |