UHARIBIFU WA MAZINGIRA. – Katika maisha ya sasa uhalibifu wa mazingira umekuwa ni kiwango cha juu sana kiasi kwamba kampeni zote zinazopigwa inaonekana ni kama kutwanga maji kwenye kinu. – Fedha nyingi sana zinatolewa kuhifadhi misitu lakini inaonekana haziwafikii walengwa na kusababisha uharibifu kuendelea kama jinsi kamera yetu ilivyonasa uharibifu huu wa miti katika harakati za uchomaji mkaa. – (image) | Environmental degradation. – In the present life uhalibifu environment has been a very high level so that all campaign zinazopigwa it looks like water in a mortar hit. – Of money provided to preserve forests but apparently not reach target and cause damage to continue as our cameras ilivyonasa destruction of trees in the process of burning charcoal. – (image) | Edit |