Envaya

/NVG/news: English

BaseEnglish
Kila binadamu ameumbwa akiwa na uwezo wa kuwa na mafanikio, Jambo ambalo linawatofautisha watu walio fanikiwa na masikini ni uwezo wa kuamua na kuchagua, kwanini nimesema hivyo maisha yetu hakika na ule uwezo wa kuchagua na kuamua unataka kuwa na mafanikiao au la ... mfano yule aliyeamua kuwa na mafanikio na yule aliyeamua kutokuwa na mafanikio wote wako sawa kwa maamuzi yao hayo na kila mmoja atapata Heshima juu ya uamuzi wake alioamua.(Not translated)Edit
(image) Hii ndio ndoto kubwa kwa kila mmoja wetu anayetaka kuwa na mafanikio. Na usianze kujiuliza maswali ya watu walioshindwa maisha. kwa mfano wao hujiuliza maswali kama 1.ningwekeza lakini sina fedha za kutosha. – 2. wakuwekeza niwe mimi mhuu haujawaona wakuwekeza ni kina Mengi n.k – 3. siku nikiajiliwa nitawekeza ..... – 4. ukiwekeza utapata hasara .......(Not translated)Edit
(image) – mwenyekiti mkuu wa kikundi cha New vision Group.(Not translated)Edit
(image) – Bila maono ni sawa na kukesha ukimuomba Mungu akuepushe na malaria baada ya kuchoma chandurua.(Not translated)Edit
(image) – Tuwaulize kwanza mahitaji yao ,Ndipo tuwasaidie by Michael Charles. mwenyekiti wa kikundi.(Not translated)Edit
(image) – Kuwasaidia hawa kufikia ndoto zao ni wajibu wetu NVG.(Not translated)Edit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
FebruaryFebruaryEdit
MarchMarchEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit
DiscussionsDiscussionsEdit
SwahiliSwahiliEdit
(unknown language)(unknown language)Edit
NetworkNetworkEdit
EmailEmailEdit