Community Organization for Life and Development "COLD" ni asasi isiyokuwa ya faida, ilianzishwa 26 Novemba 2008 katika kijiji cha Buyange, wilaya ya Kahama, Tanzania. Ilisajiliwa 28 Mei 2009 na kupewa hati yenye namba za usajili KHM/CBO/95. Inafanya kazi ya kutetea haki za watoto Tanzania. Ni dhahiri kuwa matatizo ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu yanazidi kuongezeka kila kuchapo, kundi hili la watoto limekuwa likiwekwa pembezoni, likipuuzwa na kunyanyaswa. Hali hii imewafanya watoto... | (Not translated) | Hindura |