Injira

/brightlight/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
(image)(Not translated)Hindura
(image) – Afisa mshauri wa asasi ya Bright Light akiwa katika zoezi la kuandika majina ya watoto yatima.(Not translated)Hindura
(image) – Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Bright Light akitoa maelezo ya kina kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mkoani jinsi ambavyo asasi ilivyodhamiria kuwajengea uwezo watu wenye kada mbalimbali wakiwamo watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.(Not translated)Hindura
(image) – Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Bight Light Mathew Daniel akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mradi wa JENGA UWEZO kwa Mwl. Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mkoani.(Not translated)Hindura
(image) – Mkurugenzi mtendaji na Afisa mshauri wakiendelea na uandikaji wa majina ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.(Not translated)Hindura
(image) – Mwalimu wa zamu (kushoto), mkurugenzi mtendaji (katikati) na afisa mshauri (kulia) wa asasi ya Bright Light wakiwa katika zoezi la kubaini watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi katika shule ya msingi Mkoani hapa Geita.(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura
(image) – Afisa mshauri Kim Adiel (kulia) wa asasi ya Bright Light akielezea makundi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi yatakayosaidiwa.(Not translated)Hindura
(image) – Afisa mshauri wa asasi ya Bright Light akielezea makundi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ambao watasaidiwa.(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura