Tanzania youth development Foundation, Tuna fanya shuguli za Vijana Waliopo Shuleni na wale ambao Hawapo shuleni katika maeneo ya Elimu ya Afya ya uzazi kwa vijana ,kutunza Mazingira yaliyo Haribiwa kwa makusudi, kuwapa vijana Uelewa juu ya Haki za Binadamuna kutoa uelewana mafunzo juu ya jinsia kwa maisha ya jamii ,Mapambano ya maambukizi mapya ya UKIMWI kwa Vijana,, Kutoa mafunzo ya STADI ZA MAISHA NA KAZI na namna ya kudhibiti na kukinga HIV/AIDS/STDS ,... | (Bila tafsiri) | Hariri |