Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
AMANDONGOMILO: Matunda mwitu, katika wilaya za Kyela na Rungwe. Hayaliwi sana, lakini huaminika kuwa na madini ya chuma kwa kiwango kikubwa. Vijana hutumia matunda haya kutega ndege. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe