DAKEDEO NA PROGRAM ZA MAFUNZO KUPITIA KITUO CHA ELIMU YA KUJITEGEMEA UJASILIAMALI NA UJENZI WA WELEDI(DAKAWA CENTRE FOR SELF RELIANCE AND SKILLS DEVELOPMENT (DCSSD). – Mafunzo kwa ajili ya Elimu ya maadalizi ya kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2014 yamefunguliwa rasmi. – kupitia kituo chake (DCSSD) imeanzisha vituo vya ziada katika kata za Sungaji,Dihinda,Lusanga,na Turiani. – Kuanza kwa mafunzo ya Kompyuta kwa msimu wa pili wa mwaka 2014 katika... | (Not translated) | Edit |