FOUNDATION FOR DEVELOPMENT ORGANIZATION – Wananchi wa vijiji 26 vya Tarafa ya Busega wilaya mpya ya Busega,Mkoa wa Simiyu, wamewezeshwa umuhimu wa kuhudhuria katika mikutano ya hadhara vijijini kwa mradi uliokuwa ukifadhiliwa na The Foundatio for Civil Society – Katika mafunzo haya wananchi waliweza kupata mafunzo juu ya – UMUHIMU WA KUHUDHURIA KATIKA MKUTANO WA HADHARA KIJIJINI.
... | (Bila tafsiri) | Hariri |