Shirika la ELIMISHA linatoa kipaumbele katika kuhamasisha michezo ya watoto kwa ajili ya kuibua na kukuza vipaji, ingawa maeneo mengi ya vijijini ambako mashirika mengi hayafiki kunachangamoto nyingi kama unavyoona watoto hawa wakiwa wamekosa vifaa muhimu vya michezo. (image) | Educate Agency provides priority in promoting sports for children to explore and develop talents, though many rural areas where many organizations do not reach many kunachangamoto as you can see these children having missed important sports facilities. (image) | Edit |