Hisia tumehudhuria workshop ya wadau wa VVU/UKIMWI iliyofanyika manispaa ya Iringa. Pamoja na mambo mengine tumeweza kubadilishana uzoefu na asasi nyingine. Ni fursa nzuri za kujifunza ambazo tunazihitaji sana! | Feelings have attended stakeholder workshop on HIV / AIDS held in Iringa Municipality. Among other things we can share experiences with other institutions. It is a good opportunity to learn where we need it most! | Edit |