Base (Swahili) | English |
---|---|
watoto wengi wa kitanzania wapo kwenye hali ngumu na mazingira hatarishi kutokana na kukidhiri vitendo vya unyanyasaji(kimwili,kingono,kihisia na kiuchumi) hivyo tunapaswa kuhakikisha haki za msingi za watoto zinalindwa na kusimamiwa ipasavyo |
(Not translated) |