Base (Swahili) | English |
---|---|
HIFADHI YA MAZINGIRA Tumepanda miti katika msitu wa umuishanga na kutoa elimu juu ya kuhifadhi msitu kwa jamii ya watu wasiopungua 150000,mradi ulianza mwezi Agosti mwaka2011. ELIMU YA UKIMWI: Tumeelimisha wanafunzi wote wa shule za sekondari zilizopo katika kata ya KANYIGO juu ya elimu ya UKIMWI namna ya kujilinda na maambukizi ya mapya,mradi huu umesaidia sana kupunguza maambukizi mapya ya VVU KILIMO CHA UMWAGILIAJI Tumeanzisha mashamba darasa kwa vikudi vya vijana wanaojishughulisha na kilimo cha mbogamboga, vijana wengi wameshiriki katika shughuli hii na imesaidia kubadili uchumi wa vijana katika maeneo ya mradi. MAANDALIZI YA VITALU VYA MITI Asasi kwa sasa inajiandaa kuotesha miti 50000 aina ya misonobali(emiyojwe) tayari kwa ajili ya kuigawa kwa wanakijiji ili kusaidia kurudisha uoto katika maeneo ambayo miti imekatwa kwa wingi,pia miti hii itasaidia kuongeza kipato kwa jamii ya wana kanyigo |
ENVIRONMENTAL CONSERVATION Tumepanda umuishanga trees in the forest and forest conservation education to the community of not less than 150,000 people, the project started in August mwaka2011. AIDS EDUCATION: Tumeelimisha all students of secondary schools in the county of KANYIGO existing knowledge about AIDS and how to guard against new infections, this project has helped to reduce new HIV infections Irrigation We have established a group to farm class for youth involved in the cultivation of vegetables, young people have participated in this activity and has helped change the economics of young people in the project areas. PREPARATION OF TREE BLOCKS Organizations are currently preparing to grow trees misonobali type 50000 (emiyojwe) ready for distribute to the villagers to help restore vegetation in areas where trees cut down in quantity, these trees also help increase income communities have kanyigo |
Translation History
|