kutokana na jiographia ya wilaya yetu ya sikonge baadhi ya kata vijiji vyake vipo mbalimbali sana kwahiyo si rahisi wananchi kukutana kwenye kata moja. mfano kijiji cha matagata kipo mbali sana, – ipg meeting ifanyike kwa kila kijiji ili kuweza kutoa nafasi ya watu kutoa maoni yao wakiwa katika vijiji vyao | from our district jiographia I cut sisal some villages exist very different so it is not easy to meet people in one county. matagata model village is very far away, – ipg meeting may be done for each village in order to provide an opportunity for people to express their views while in their villages | Edit |