Asasi ya Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization(MEECO) kwa kushirikiana na American Corner English Club,siku ya jumamosi ya tarehe 23 July 2011 itafanya dhiara ya kwenda Kijiji cha Unguja Ukuu, mkoa wa Kusini Unguja wilaya ya Kati.Dhiara hiyo itakuwa na malengo yafuatayo: – Kuhamasisha Wanakijiji na Jamii ya Wazanzibar kwa ujumla umuhimu wa utunzaji,uhifadhi na Kulinda mazingira.
Nafasi za Asasi zisizo za... | Organization Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization (MEECO) in collaboration with the American Corner Kiswahili Club, on Saturday the 23 July 2011 will go dhiara Village of Greatness Unguja, South Unguja Region Kati.Dhiara district will have the following goals : – Mobilizing the Community of Zanzibar Villagers overall importance of the preservation, conservation and environmental protection.
The role... | Edit |