Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
kikundi cha upendo mausi kutoka Dodoma kata ya majengo mtaa wa mausi,sasa hivi inajishughulisha na utengenezaji wa mabatiki baada ya kupata short course kutoka kwa TASAF,hvyo kikundi cha upendo maus kinapatwa na changamoto za ghalama za usafir wa mabatiki kutoka dar es salaam,rangi za mabatiki na majola yake pamoja na vifaa vya kutengenezea. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe