| (image) – Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Bi. Halima Kihemba ( kushoto) na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa wakimkabidhi Baiskeli Mfanyakazi wa Kujitolea Wa Pwani- DPA, bW. Emanuel Kombe (katika)kwa ajili ya Utekelezaji wa Mradi wa Kupambana na Malaria katika Wilaya ya Kibaha. | (image) – General Kibaha District, Bi. Halima Kihemba (left) and Head of National Torch Race Bikes were committed employee volunteers coast-DPA, Mr. Emanuel Cup (in) for the Implementation of the Program to Fight Malaria in Kibaha District. | Edit |