HIFADHI YA MAZINGIRA – Tumepanda miti katika msitu wa umuishanga na kutoa elimu juu ya kuhifadhi msitu kwa jamii ya watu wasiopungua 150000,mradi ulianza mwezi Agosti mwaka2011. – ELIMU YA UKIMWI: – Tumeelimisha wanafunzi wote wa shule za sekondari zilizopo katika kata ya KANYIGO juu ya elimu ya UKIMWI namna ya kujilinda na maambukizi ya mapya,mradi huu umesaidia sana kupunguza maambukizi mapya ya VVU – KILIMO CHA UMWAGILIAJI ... | ENVIRONMENTAL CONSERVATION – Tumepanda umuishanga trees in the forest and forest conservation education to the community of not less than 150,000 people, the project started in August mwaka2011. – AIDS EDUCATION: – Tumeelimisha all students of secondary schools in the county of KANYIGO existing knowledge about AIDS and how to guard against new infections, this project has helped to reduce new HIV infections – Irrigation – We... | Edit |