Asasi ya Muwape ni Chama cha Ushirika cha kuweka na kukopa. – Asasi hii ilianzishwa munamo mwaka 2010 mwezi wa pili kikiwa na wanachama 35, kilianza kutoa mikopo kwa wanachama 34 kwa kuanzia na kima cha Tsh 200,000 na hadi leo hii mwezi wa June 2012 Asasi ina wanachama 250 na inatoa mikopo hadikiwango cha Tsh 3,000,000. – Mikopo inatolewa kwa wajasiria mali wadogo wadogo kwa maeneo ya Kilimo,Uvuvi,Biashara na Viwanda. – Asasi hii... | (Not translated) | Hindura |