MRADI – LIMA ALIZETI UEPUKE UMASIKINI
1.1 Utangulizi – Shirika la Saidia Wazee Tanzania, (SAWATA MARA) kwa kushirikiana na shirika la kimataifa “HELPAGE INTERNATIONAL – TANZANIA”, limekuwa linashughulikia utetezi na ushawishi kuhusu masuala ya wazee. Mambo muhimu kwa sasa ni:- – Matibabu bora... | (Bila tafsiri) | Hariri |