Umoja wa wazee na maendeleo Tanzania ni muunganiko wa wazee wote wenye umri kuanzia miaka 50 kuendelea wenye makusudi ya pamoja yakusaidiana na kukabiliana na changamoto mpya kabla na baada ya kustaafu.Umoja huu ulianza baada ya kugundua kuwa hakuna taasisi inayotetea maslahi ya wazee hivyo kuwa wapweke na mara kadhaa haki zao nyingi hupotea kwa kuwa hakuna taasisi za kusemea haki zao. – Umoja huu ulianza kama wazo la wazee wachache na baadae kuungwa mkono na wazee... | (Not translated) | Hindura |