Dira ya kitaifa iliwekwa na umoja wa mataifa mwaka 1982 kwamba wazee washirikishwe katika mipango ya maendeleo. Mwaka 1999 serikali ya Tanzania iliamua kuwa na sera ya Taifa ya wazee. Mwaka 2002, mpango huu wa kimataifa ulifanyiwa mapitio kubaini matatizo na mahitaji ya wazee karne ya 21. – Saidia Wazee Tanzania, shirika la kitaifa, ilianzishwa tarehe 21 machi,1994. Saidia wazee Tanzania – Mara (SAWATA MARA) ni tawi la Saidia Wazee Tanzania, (kitaifa).... | (Not translated) | Hindura |