Moja ya uhai wa kikundi cha new vision Group ni kuendesha miradi itayoleta Tija na Mafanikio. – -Mradi wa kukusanya Mtaji kwa lengo la kuanza kutekeleza miradi iliyopangwa kufanyika.MRADI HUU UNATEKELEZWA MPAKA SASA. – - Mradi wa Bodaboda kwa lengo la kurahisisha huduma ya usafiri kwa wakina mama wajasiria mali toka Idara ya maji wanaofanya Biashara ya Samaki toka Ziwa Victoria. – -Mradi wa kuweka na kukopa kwa wafanya... | (Not translated) | Hindura |