Base (Swahili) | English |
---|---|
AMANI THE FOUNDATION OF LIFE(AFL) Tunaendesha mikutanoya hadhara katika Wilaya za Kyela Rungwe na Mbeya Mjini yenye lengo la kuhamasisha Vijana kuijua na kuitekeleza sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana nchini. |
PEACE THE FOUNDATION OF LIFE (AFL) conducts other public mikutanoya in Kyela District Rungwe and Mbeya Urban aimed at encouraging youngsters to know and implement the policies of the National Youth Development in the country. |
Translation History
|