KUHUSU UBOMA. – Utawala Bora kwa Maendeleo (UBOMA) ni asasi isiyo ya kiserikali, isiyolenga kupata faida binafsi iliyoanzishwa mwaka 2009 na kusajiliwa Machi 26’ 2010 na Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto kwa hati yenye namba OONGO 3798. – UBOMA ilianzishwa kwa lengo la kupigania upatikanaji wa maendeleo endelevu kwa jamii ili kuona kwamba siku moja jamii ya kitanzania inaishi ikiwa bora katika kila sekta. Katika kulitimiza... | (Not translated) | Hindura |