TEMOA ni shirika lisilo la kiserikali lililosajiliwa nchini Tanzania kufanya kazi za kiraia chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002. shirika lilisajiliwa na mamlaka inayohusika na usajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali yaani wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto tar 08/12/2014 na kupewa namba ya usajili 00NGO/00007662. Temoa ilianzishwa mwezi wa tatu mwaka 2014 na kikundi cha vijana kwa lengo la kuhamasisha maendeleo ya elimu wilayani... | (Bila tafsiri) | Hariri |