MRADI WA KUKUZA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA NA KUIMARISHA UADILIFU, UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA. – Guluka Kwalala Youth Environment Group tarehe 30th March, 2010 kwenye Hotel ya OASIS Mjini Morogoro tuliingia makubaliano na ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma (Idara ya Maadili). – Lengo la makubaliano hayo ni kujenga ushirikiano kati ya Guluka... | (Bila tafsiri) | Hariri |