Lindi Region Association of Non Governmental Organizations (LANGO) ni Mtandao wa Asasi za Kiraia Mkoa wa Lindi. Mtandao ulianzishwa rasmi tarehe 20 Juni,2007 na wanachama 5 waanzilishi ambao ni Mitandao ya Asasi Za Kiraia ya Kiwilaya za Mkoa wa Lindi ambayo ni pamoja na; LINGONET (Lindi), KINGONET (Kilwa), ULIDINGO (Liwale),... | (Bila tafsiri) | Hariri |