Foundation for development organization.(FODEO) ni shirika lisilokuwa la kiserikali na lisilozalisha faida lililoanzishwa mwaka 2004 kama CBO iliyokuwa ikifanya kazi zake katika kata ya Mwamanyili, shirika lilipata usajili wa ngazi ya NGO mwaka 2009 chini ya sheria ya usajili wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kifungu cha 12(2) of Act No 24 of 2002.na kupewa cheti chenye N0.00003431. – Nia ya kuanzishwa kwa shirika hili kusaidia kutoa utetezi wa...(This translation refers to an older version of the source text.)