(image) – (image) Mwanachama wa jukwaa la vijana na Saccos ya vijana Misungwi akiwa katika shughuli zake za bustani ya nyanya misungwi bondeni jitihada zinazochochewa na uhamasishaji mzuri kutoka kitengo cha maendeleo ya vijana – kitalu cha miche ya miti kilichopo maeneo ya Mitindo wilayani misungwi ni moja ya miradi inayochochea uhifadhi wa mazingira ... | (Bila tafsiri) | Hariri |