Mradi wa Uoteshaji na Upandaji miti – Uharibifu wa mazingira ni uzoreteshaji wa mazingira kwa njia ya kupungua kwa rasilimali kama vile hewa, maji na udongo; uharibifu wa ikolojia na kupotea kwa wanyamapori. Kama inavyoonyeshwa na formula hii I=PAT , athari za mazingira (environmental impact, I) au uharibifu unasababishwa na muunganiko wa kuongezeka kwa idadi ya watu (increasing human population, P), kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi... | (Not translated) | Edit |