Shirika baada ya kupata nguvukazi (Wanachama Watendakazi) katika nchi na mikoa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Tanzania mikoa ya Rukwa, Tabora, Katavi na Kigoma, Wanachama Waliofuzu Mafunzo ya Kazi kwa nadharia na wengine Mafunzo ya kazi kwa vitendo ngazi ya mkoa, limekwishaanza kuwapeleka maeneo ya kazi na wengine maeneo ya Mafunzo ya Kazi kwa vitendo katika nchi na mikoa mbalimbali... | (Bila tafsiri) | Hariri |