Envaya

/CINOANGELLEMA/history: Kiswahili: WI0006BB59234D7000018418:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

SHIRIKA LILIANZISHWA 2003 NA KUSAJILIWA RASMI TAREHE 20 JULAI 2004 NA BAADA YA SHERIA MPYA YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YA MWAKA 2002 KUPEWA CHETI  KILICHOSAJILIWA CHINI YA SOCIETIES ACT CAP 337 (R.E 2002) 20TH JULY 2009. NAMBA S.A. 12900.

TUMEFANIKIWA KUJITANGAZA KWA JAMII,UONGOZI WA SERIKALI NGAZI ZOTE, WILAYA YA LINDI NA MANISPAA YA LINDI MJINI .

 

KUJIUNGA NA MITANDAO YA MASHIRIKA KIMKOA NA KITAIFA NAO WAMETAMBUA MCHANGO WA SHIRIKA LA CINO

KUTEMBELEA KATA 13 ZA LINDI MJINI NA KATA 10 ZA LINDI (V) KUTAMBUA WATOTO YATIMA NA WALIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI KWA NIA YA KUWASAIDIA.

KUTOA ELIMU KWA JAMII JUU YA WAJIBU NA MAJUKUMU YA KATIKA KUHUDUMIA WATOTO YATIMA.

KUTOA MSAADA WA ADA,SARE,NA VIFAA VYA SHULE KWA WATOTO WATANO WALIOFAULU KUJIUNGA NA SEKONDARI NA KUSHINDWA KUTOKANA NA HALI YA UMASKINI.

KUGAWA VYAKULA ,NGUO VIFAA VYA SHULE NA NETI ZA KUZUIA MBU KWA WATOTO 148 WA MANISPAA YA LINDI.

SHIRIKA LIMEWEZA KUJITAMBUA KWA KUJIFANYIA TATHMINI BINAFSI CHINI YA ASASI YA KIRAIA  NGO RESOURCE CENTRE.(NGORC)

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe