Historia ya Fupi ya Shirika na Shughuli Zake
SEDIT ni shirika lisilo la kiserikali lililosajiliwa Februari 23, 2005 chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ambalo makao makuu yake yapo Ilala Sharifu Shamba, kitalu namba 58. Shirika letu limekuwa likijihusisha na uanzishaji wa vikundi vya kuweka na kukopa katika maeneo mbalimbali nchini kwa kutumia mfumo wa VICOBA (Village Community Banks) ambao ulianzishwa na shirika letu hapa nchini... | Short History of the Organization and its activities
SEDIT is a non-governmental organization registered February 23, 2005 under the Ministry of Interior where his headquarters are Ilala respectable field, block number 58. Our organization has been likijihusisha and the establishment of group savings and credit in various locations in the country to use system VICOBA (Village Community Banks) which was initiated by our... | Edit |