Nashukuru sana Mtandao wetu wa Website yetu ya Envaya unavyotusaidia na kutukutanisha. kwangu mimi binafsi na PHY kwa ujumla tunathamini juhudi zenu mnazozifanya kwa ajili ya kukuza sekta ya Asasi ya kijamii katika nchi mnazofanyia kazi. – Augustine J.Nyakatoma – Executive Director – PHY – Mwanza - Tanzania | (Not translated) | Hindura |