Envaya

/tayo-mtwara/projects: English: WI000DB4C16BB62000025184:content

Base (Swahili) English

Mipango ya kumjenga kijana

1.kumjenga kijana kiroho

2.kumjenga kijana kimwili

3.kumjenga kijana kiakili

1.1.njia zinazotumika ktk kumjenga kijana kiroho

-semina,matamasha,mafunzo kwa kutumia walimu wenye upeo,ujuzi na maarifa.

2.1.njia zinazotumika ktk kumjenga kijana kimwili

-tuna michezo ya riadha,michezo yote ya mpira,michezo ya kamba,michezo ya ubunifu na kuhakiki vijana wanapata lishe bora.

3.1.njia zinazotumika ktk kumjenga kijana kiakili

-tuna miradi na miundombinu inayoibua maendeleo kwa kuwatumia vijana tuliokuwanao

-tunatoa elimu mashuleni s/m,sec,vyuo na taasisi mbalimbali

-tuna miradi ya kusaidia jamii katika:-mazigira,afya,elimu,majanga na maafa

 

Plans kumjenga boy

1.kumjenga young spiritual

2.kumjenga young physically

3.kumjenga young mentally

1.1.njia used ktk kumjenga spiritual boy

-Seminars, concerts, training teachers to use the scope, skills and knowledge.

2.1.njia used ktk kumjenga young physically

-Have games for athletes, all games of ball, rope games, games design and verification of teenagers are fodder.

3.1.njia used ktk kumjenga young mentally

-We have projects and infrastructure development inayoibua using young people who kuwanao

We provide education to school-s / m, sec, colleges and institutions

-We have projects to help communities:-approaches, health, education, natural disasters and disaster


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
June 17, 2011
Plans kumjenga boy – 1.kumjenga young spiritual – 2.kumjenga young physically – 3.kumjenga young mentally – 1.1.njia used ktk kumjenga spiritual boy – -Seminars, concerts, training teachers to use the scope, skills and knowledge. – 2.1.njia used ktk kumjenga young physically – -Have games for athletes, all games of ball, rope games, games design and verification of teenagers are...