Shirika la Farming Partnerships Initiatives lilianzishwa mwaka 2008, baada ya Rev.Heavenlight MLuoga kupata ushauri wa kufanya hivyo kutoka kwa wakulima wa kijiji cha Katwe, baada ya hapo Mchungaji Luoga alifanya mawasiliano na shirika la Operation Agri (OA) la nchini Uingereze,Mwezi wa nne 2009 wakulima watatu walitembelea mradi wa kilimo Busia nchini Uganda chini ya ufadhili wa Operation Agri, Ralph na Jane Hanger kutoka Uingereza wawakilishi wa Operation Agri... | (Not translated) | Hindura |